Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Dybala noma hata pelle hafiki
Mkuu wivu ni mbaya sana. Huyu pele anachokifanya kwa Waargentina anazani atapewa sifa.hajui anajidhalilisha tu.
Kwanza anajuwa kabissa kuwa KING DIEGO ni zaidi yake yeye,,na KING MESSI ni zaidi yake.sasa roho inazidi kuumia na kupelekea anaanza kulopoka tu na kuwakandia wachezaji wa kiargentina like DYABALA n.k