Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Dybala noma hata pelle hafiki
Pele huwa anafikiria reverse hivyo geuza mawazo yake ndio utapata maana halisi
Kadri miaka inavyozidi kusonga watu tunaanza kumsahau Pele kwahy ni haki yake kutafuta Kik kwa nyota wadogo wadogo wanaokuja kufunika jina lake zaidi.
Atulie nae kacheza soka miaka ya 50 anataka ajione bado yumo?
Kuna mtu ambae hamjui Pele!?
Pele anaamini vipaji vya mpira vipo Brazil tu na sio mahala kwingine duniani.
Pele anaamini katika dunia hii hakuna mchezaji bora zaidi ya neymar na ukitaka Pele akununulie whisky basi msifie neymar mbele yake.
Uzeee wapi,ujui kama pele au black mamba ndo mfalme wa mpira Duniani ko kila asemacho ujue ameona mbali maana old is gold ok panthersUzee
Nasemaga siku zote. wafalme wa soka duniani ni wawili 2.
Messi na Diego full stop
Sijawai kumckia mhuni Diego akiwaponda wachezaji awe mbrazili au mchezaji yoyote anayetoka taifa lingine. Na ndiomana Argentina imebarikiwa kwa wachezaji wazuri duniani. Yeye akae na wivu wake lakini haitomusaidia chochote.
Ukiniuliza kati ya Dyabala na Neymar leo hii nani anapiga mpira haswa nitakujibu ni Dyabala, ila kwenye sequence ya wacheza mpira bora sasa duniani kwangu mimi wa Kwanza ni Messi, wa pili Hazard, watatu ni kati ya Mbappe na Dyabala