Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Pele ni mngese sana awezaje kujifananisha na messi
There is only one messi in the world na hakuna wa kumfikia hata nusu
Haha haha haha haha jamaa alikuwa anapiga story na kipa mpira ukija anajifungia tu sasa hivi huo ujinga haupo
Pele ni mngese sana awezaje kujifananisha na messi
There is only one messi in the world na hakuna wa kumfikia hata nusu
Kwani hiyo sheria ilikuwa wengine wa wakati huo mbona isiwanufaishe kama ilivomnufaisha yeye.Yule aliyecheza mpira huku kukiwa hata sheria ya kuzidi haipo
Mpira umeanza kufuatilia lini? Na ulitaka King acheze fainali gani ambayo hajachezaYaan unamfananisha mtu aliyebeba kombe la dunia mara tatu, na mtu hata ambaye hajaweza kucheza mechi ya fainali ya fainali, potelea mbali kuwa mshindi wa tatu. Bahati mbaya saana hujakuwepo zama hizo.