Pele na upayukaji wake dhidi ya baba yake Messi

Pele na upayukaji wake dhidi ya baba yake Messi

Haha haha haha haha jamaa alikuwa anapiga story na kipa mpira ukija anajifungia tu sasa hivi huo ujinga haupo

Kabisa, mpira wa siku hizi ni mgumu ukilinganisha na hapo zamani kamanda. Yani huyu babu angelikuwepo nyakati hizi za Messi hakianani angefunikwa vibaya sanaa, na asingeambulia ballon hata moja.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Screenshot_20181217-220120_Instagram.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20181217-215956_Instagram.jpg
    Screenshot_20181217-215956_Instagram.jpg
    64 KB · Views: 21
  • Thanks
Reactions: PNC
Pathetic fans.
PELE will be The King,others will follow.
 
Yaan unamfananisha mtu aliyebeba kombe la dunia mara tatu, na mtu hata ambaye hajaweza kucheza mechi ya fainali ya fainali, potelea mbali kuwa mshindi wa tatu. Bahati mbaya saana hujakuwepo zama hizo.
 
Mpira umeanza kufuatilia lini? Na ulitaka King acheze fainali gani ambayo hajacheza
 
Back
Top Bottom