Peleka mtoto chuo akimaliza Kidato cha Nne badala ya Kidato cha Tano

Peleka mtoto chuo akimaliza Kidato cha Nne badala ya Kidato cha Tano

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kama una kijana amemaliza form 4 na ana matokeo mazuri mpeleke akasome CERTIFICATE ya course anayopenda baadae mpeleke Diploma.

Akipata kazi yake au issue zake asome degree akiwa kazini au kwenye shuguli zake. Utanishukuru baadae. Hii inasaidia kuokoa muda na possibility ya kufeli form six ni kubwa sana.

Form Six haina deal katika maisha sasa.

Ushauri tu.
 
Acha kupotosha watu mnaharibu watoto. Watu wengi wanaopitiaga diploma wanajionaga wamewin sana. Na ndio wanaongoza kulia mishahara midogo.
Tuambie atalipwa kiasi gani kwa mwezi
 
Mwenyewe nmesoma pcb ila nahis nilipoteza mda tu aisee ss ivi nauza vitumbua sokon na mtt wa kiumen
 
Ningekuwa namaliza form 4 sasa hivi na kufaulu japo div 3. Ninge opt kwenda kusoma ujuzi katika vyuo vya Veta.

Ujuzi kama Uselemala, Ushonaji Nguo au Viatu ili nianzishe kiwanda changu na kukipigania hadi nifanikiwe.

Ili kuwa na uhakika na ajira yangu ya baadae, na kufanikiwa kutokana na juhudi nitakazo weka katika kazi yangu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom