Ningekuwa namaliza form 4 sasa hivi na kufaulu japo div 3. Ninge opt kwenda kusoma ujuzi katika vyuo vya Veta.
Ujuzi kama Uselemala, Ushonaji Nguo au Viatu ili nianzishe kiwanda changu na kukipigania hadi nifanikiwe.
Ili kuwa na uhakika na ajira yangu ya baadae, na kufanikiwa kutokana na juhudi nitakazo weka katika kazi yangu mwenyewe.