Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri.

Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa sana kiëa mwaka.

SGR inaweza kufanya vizuri sana kama itawekwa mikononi mwa private sector, lakini kama itabaki mikononi mwa serikali wahuni sio muda mrefu watachaneli huo mzigo kwenye mifuko yao na SGR itakuwa ni mzigo mkubwa wa ruhuku kwa serikali.

Hii ni pamoja na Udart, zote zinahitajika kuwa DSE.
 

Attachments

  • Screenshot_20241024-152955_X.jpg
    Screenshot_20241024-152955_X.jpg
    292.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom