View: https://youtu.be/Ho9RTwFYJI0
Je, unaendesha kiwanda au biashara ya uzalishaji na unahitaji njia rahisi ya kusimamia shughuli zako zote kwa ufanisi zaidi?
Tunatambulisha Peloo Factory, mfumo wa kisasa ulioundwa kusaidia viwanda kusimamia shughuli zao zote kupitia mfumo mmoja.
Kupitia Peloo Factory, unaweza kusimamia:
- Production Management: Kusimamia uzalishaji na kufuatilia hatua mbalimbali za uzalishaji.
- Inventory Management: Kudhibiti malighafi, bidhaa zilizokamilika na stoo.
- HR & Payroll: Kusimamia wafanyakazi, taarifa zao na mishahara.
- Sales & Distribution: Kusimamia mauzo, oda za wateja na usambazaji wa bidhaa.
- Finance & Accounting: Kufuatilia mapato, matumizi na taarifa za kifedha.
- Reports & Business Insights: Kupata taarifa muhimu zinazokusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Tazama video ya demo iliyoambatanishwa kuona jinsi Peloo Factory inavyofanya kazi na namna inavyoweza kusaidia kusimamia shughuli mbalimbali za kiwanda chako katika mfumo mmoja.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Peloo Factory au kuwasiliana nasi kwa ajili ya kuujua mfumo kwa undani, karibu utujulishe kupitia [email protected].