Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
You go and drinking alcohol as usual useless
 
kitu tutafanya tutaacha sheria ifanye kazi badala ya busara iliyotumika kupindisha mpaka pale knjaro,tunaunyoosha mpaka mombasa.

msione viongozi wenu na wanazuoni wanakalia kimya hili swala ni gumu sana upande wa kenya.

Hata mkiunyoosha bado Mombasa haitakua Tanzania, Kwale ndiyo itaingia Tanzania sio Mombasa, kama nikisiwa mnataka basi mtakichukua funzi na bandari ya shimoni, lakini Mombasa la Ila Pemba ni yetu. Kwani wewe unafikiri hatujui kua huo mlima ulikua wetu ni Malkia Victoria aliuzawadi mjukuu wake ambaye alikua ameolewa Germany ndio huo mlima mkaupata.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
Kama unafikiria ni rahisi ivyo embu mjaribu maana kile cha Migingo na Miingo kinawasumbua kila siku naona ss mataka kuja kutu test uwezo wetu na sisi.
 
EA_map.png

We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
 
Naona hili Jambo la Pemba limekutia kiwewe Hadi unakimbia huku. Unapofurahia mabaya yakimtokea mwenzake inafaa pia ujue hayo pia yanaweza kukuandama. I can't wait to see how your country handles such an issue if at all Kenya claimed Pemba.
Hata kama Somalia ikifanikiwa hiyo adhma yake ambayo najua hawatofanikiwa anyway, serikali yenu haina guts za kuichukua sehemu ya Tanzania hilo viongozi wenu wanalijua fika.
 
Unavyoongea kirahisi, eti pemba itaingia Kenya automatically [emoji23]
Kwani we huoni Ile claim ya Somalia? ICJ wakisema Somalia ndio wenye disputed area automatically Pemba inaingia Kenya Kwa sababu Sheria ya maritime boarder inasema nchi ambazo zinapakana na bahari mpaka wao ni 200 nautical miles into the sea and if our northern border inabadilika unamaanisha automatically our southern border also changes.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama Somalia ikifanikiwa hiyo adhma yake ambayo najua hawatofanikiwa anyway, serikali yenu haina guts za kuichukua sehemu ya Tanzania hilo viongozi wenu wanalijua fika.
Sio kenya inachukua Ila ni Sheria ya maritime boarder inasema hivyo kila nchi ambayo inapakana na bahari mpaka wake ni 200 nautical miles into the sea halafu ule mpaka mwengine unaitwa international waters, mpaka wetu wa kasikazini ukibadilika inamaanisha hata mpaka wetu wa kusini pia utabadilika Ndio maana hio kesi ni ngumu upande wa Somalia na Hilo litaathiri bara zima.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sio kenya inachukua Ila ni Sheria ya maritime boarder inasema hivyo kila nchi ambayo inapakana na bahari mpaka wake ni 200 nautical miles into the sea halafu ule mpaka mwengine unaitwa international waters, mpaka wetu wa kasikazini ukibadilika inamaanisha hata mpaka wetu wa kusini pia utabadilika Ndio maana hio kesi ni ngumu upande wa Somalia na Hilo litaathiri bara zima.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo nimesema hiyo case ya Somalia haitofanikiwa na ninyi mna deal na Somalia sababu mnajua hiyo nchi haipo stable ni failed state so you can't take it seriously sababu ni politically Somalia ni unstable, ni tofauti mtakavyodeal na Tanzania, hata kama Somalia akishinda hii issue haitokua easy kwa upande huu kama ulivyosema hapo "... Automatically...."

Hata kama mahakama ya Kimataifa imekubaliana na Somalia, kwa upande wa Tanzania haitokua automatically kama unavyodhani. Zanzibar ni nchi huru lakini Tanzania Bara haitaacha hilo litokee kirahisi.
 
Nimesema automatically Kwa mujibu wa Sheria hicho kisiwa kitakua Kenya lakini Tanzania pia itapinga na Nina uhakika hio kesi ikianza Tanzania itajoin kama amicus curiae kuelezea mahakama jinsi itathirika na uamuzi wao pia itaelezea mahakama kua haipo tayari kuruhusu eneo lake kuchukuliwa na Kenya na Kenya pia watainsist kwamba mpaka wa kasikazini ukibadilika mahakama iiamuru Tanzania kisiwa kuchukuliwa na hio ni strategy Tu kuweka pressure Kwa mahakama kurule in kenyas favour.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kama vile Lamu is in Somalia if you go straight as Nombasa is part of Tanzania.
 
Hata mkiunyoosha bado Mombasa haitakua Tanzania kwale ndio itaingia Tanzania sio Mombasa,kama nikisiwa mnataka basi mtakichukua funzi na bandari ya shimoni, lakini Mombasa la Ila Pemba ni yetu, kwani wewe unafikiri hatujui kua huo mlima ulikua wetu ni malikia Victoria aliuzawadi mjukuu wake ambaye alikua ameolewa Germany ndio huo mlima mkaupata.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Njoon muuchukue kama wenu
 
Ukitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."

Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
 
njoon muichukue pemba yenu, yaan nyie mijamaa mnajionaga mnaakili sana ila ni washamba tuu,
Achana na hawa vinyangarika bendera fuata upepo ambao wanaunga mkono Somalia kwenye ndoto zao za mchana. Kisheria maamuzi ya mahakama kama ICJ kuhusu mipaka baharini huwa yanageuka na kuwa 'case law' baada ya kesi kuhitimishwa. Yaani maamuzi hayo yatakuwa sheria kivyake na yanaweza yakatumika hapo baadaye kuvuruga mipaka yote ya jadi, kutoka Cairo hadi Durban.
 
Back
Top Bottom