Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Haya ndugu zangu
Tayari kuna mwananchi amegundua maji mabaridi/matamu fukwe ya pwani ya Konde visiwani Pemba.
Jamaa anasema yeye pamoja na familia yake wote walikuwa wanaumwa baadaye walipokunywa maji waliweza kupona wote na hata baada ya kuaambia majirani mwanzo walipuuza ila nao,wakayatumia wakapona.
Hivi navyosema kuna foleni kubwa sana,na serikali ishafika kuchukua sampuli ya maji kwa ajili ya kuyapima.
Wenye kuhisi tatizo la nguvu kiume mnakaribishwa.