Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Wànataka kutoa kwenye hoja za ufisadi wa kutisha kwenye taasisi za serikaliHaya ndugu zangu
Tayari kuna mwananchi amegundua maji mabaridi/matamu fukwe ya pwani ya Konde visiwani Pemba.
Jamaa anasema yeye pamoja na familia yake wote walikuwa wanaumwa baadaye walipokunywa maji waliweza kupona wote na hata baada ya kuaambia majirani mwanzo walipuuza ila nao,wakayatumia wakapona.
Hivi navyosema kuna foleni kubwa sana,na serikali ishafika kuchukua sampuli ya maji kwa ajili ya kuyapima.
Wenye kuhisi tatizo la nguvu kiume mnakaribishwa.
Wakanywe wenyewe
🤣🤣🤣🤣Maji mabaridi na matamu ndio yakoje?
Sijuagi mi naonaga maji yote sawa .Sasa maji matamu yanakuaje ?🤣🤣🤣🤣
Address:- Konde,Pemba
Tusubir waliopo huko watupe mrejeshoSijuagi mi naonaga maji yote sawa .Sasa maji matamu yanakuaje ?
Vipi ndio hao majamaa wameshika mabuyu ya maji mabaridi?
Bahari ipo msuka, juso🤣🤣🤣🤣
Address:- Konde,Pemba
Wajinga wakiisha Manabii wa uwongo, akina Controller watakula wapi na forex inawaweka mjini Mzee Baba? [emoji1]Nchi hii wajinga hawaishagi