Uchaguzi 2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

Uchaguzi 2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni katika Viwanja vya Tibirinzi, viwanja mpaka muda huu vimetapika, hizi ni picha za awali

FB_IMG_1600079324292.jpg
FB_IMG_1600079318796.jpg
FB_IMG_1600079312413.jpg
 
Chama cha ulaghai CCM mwaka huu sijui watatumia njia gani kumdhulumu Seif?
Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.
 
Heko ACT- wazalendo!! Zanzibar na tz kwa ujumla Ni wakati wa mabadiliko Kama Kuna wakati ambao watu wana shauku kubwa ya kubadilika, basi Ni huu. " Tumechoka na ccm ".
 
siro hakupiga mkwara,alionya vurugu.

kama siasa safi ndio wamechagua wazanzibari kwanini vurugu!!!!
 
Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.
Hao hao wanaCCM huko nyuma walidai Rais wa ZNZ hawezi kutoka Pemba .... Dodoma walipoamua Sein akawa Rais!!

Never say Never ....!!
 
Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.
Chief acha kumtaja shangazi yangu alishafariki tangu January 2016 mwache apumzike kwa amani huko aliko!!
R.I.P Asha Bakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini anazindulia kampeni zake kwenye vichaka vya nyoka na mijusi guluguja,kwani viwanja vizuri zanzibar akuna?
 
watu wachache unashindwa kupiga picha CCM vipi ndugu
Leave oneself alone. The self is confused. Maada yetu hapa ni Pemba yeye anarukia Makambako. Tumuambie maana ya neno "makambako": Ni madume ya ng'ombe yenye "silaha" kali.
 
Back
Top Bottom