Uchaguzi 2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

Uchaguzi 2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.
Tunalijua hilo mkuu Mara hii ni kuuwana tu mukizingua.
 
ili nafas za miti zijaze sehem zitazokuwa wazi.. ni sawa alichofanya zito kigoma.. yani miti na majengo ni sehem ya mkusanyiko pia [emoji23]
Nijuavyo uwanja wa Tibirinzi ndiyo uwanja maarufu na mkubwa kwa shughuli za halaiki kwa Pemba nzima. Watu kuonekana kwenye vichaka maana yake eneo lote la wazi lililoko mbele huenda limejaa. Hiyo ndiyo maana halisi ya uwanja kutapika.
 
Ni katika viwanja vya Tibirinzi , viwanja mpaka muda huu vimetapika , hizi ni picha za awali

Pemba na Unguja wamemkataa shetani na kazi zake zote, na hila zake zote, na ushawishi wake wote. Nzi wa kijani na maeneo safi wapi na wapi!

Nzi hawa makazi yao ya asili ni sehemu zilizokuwa chafu na kutoa harufu ya uvundo. Haiwezekani kamwe wapewe nafasi nyingine ya kuishi sehemu zilizokuwa safi na makazi bora.
 
HAMNA TV YOYOTE INAYOONYESHA LIVE ??? AU KWENYE STREAMING ????
 
Shein aliwaahidi zanzibar itakuwa kama Dubai , mpaka anamaliza muda wake wananchi wana hali mbaya sana kiuchumi.

Safi sana Pemba mmefanya maamuzi mapema ,piga chini hao walaghai ccm.
 
Back
Top Bottom