vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Tunalijua hilo mkuu Mara hii ni kuuwana tu mukizingua.Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.