Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

Lissu kamuuza nani vile? Mbowe.! au hajamuuza.!? basi samaani
 
Duni ni duni km lilivyo jina lake! Zitto ameona aeke bua ili ampeleke anavyotaka.
 
View attachment 2116963
Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake

Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
Vilaza hawa, wamekosea hata kujipanga! Katibu mkuu alipaswa kuwa pembeni mwa Mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…