Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

Hamna kitu hapo..

Wenye kujua wanakaa kimya..

CUF ..imekufa kibudu na wauaji wanajulikana ... Na sasa hiyo ACT ndio kabisa.. ..

Wamevuruga vyama mpaka kugawanyika matokeo vikawa dhaifu kwenye uchaguzi

Sasa hivi wanaanza Tena..pole pole kuandaa mazingira ya kutengeza migogoro kwa ajili ya uchaguzi ujao!

Watu wa system.. wanatumwa..na wanafanikiwa kuvuruga maana wanachama ndio vile 'bobo'...
 
Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..
Agenda za Zanzibar zinafahamika.

1. Zanzibar huru
2. Maslahi ya kidini
3. Haki za Wazanzibar.

KILA Mzenji anajua hilo
 
Hahahahahah

Juma Duni hajui Siasa?

Siasa za wapi?

Ukimuacha Maalim Seif na Freeman…hakuna Mtu alieishi na kuijua Siasa upande wa Upinzani kama huyu Mwamba…ile milima na Mabonde yote ambayo Wanasiasa nguli Duniani hupitia nae kapitia

Sifa kubwa sana inayomtofautisha na Wanasiasa wengi sana wa Tanzania ni kutokuwa na Tamaa

Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..
 
Back
Top Bottom