Hiyo ni Photoshop mkuu.Vilaza hawa, wamekosea hata kujipanga! Katibu mkuu alipaswa kuwa pembeni mwa Mwenyekiti.
😁😁😁 Okay!Hiyo ni Photoshop mkuu.
Ndio maana kachaguliwa na Zitto. Maana kiongozi mkuu hawezi kuwa na msaidizi wanaebishana kwa hoja.Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..
Agenda za Zanzibar zinafahamika.Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..
Yaani huyu mzee amekaa kikatuni katuni tu na kifaraguzi hivi. Siasa hawezi. Sijui ni kitu gani kinambeba.Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..
Dun ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hajui Siasa..