Visiwa tajwa hapo juu vina bahati sana.
Vina serikali yake
Vina wabunge wake kwenye bunge la muungano,
Vinaendeshwa na fedha toka Bara
Vina mamilioni ya watu wake Bara
Vina watu wenye uraia pacha wakati watanganyika hawana
Pemba na unguja kwa pamoja vinaitwa zanzibar nikuweke sawa kwanza,halafu kabla ya mavamizi ya nyerere na watanganyika wenzake zanzibar ilikuwa nchi ya kwanza kuwa na kila kitu chake,soma histor vizur kisha angalia profile picha yangu kwa ushahid