Ombeni w lema
Member
- Nov 16, 2010
- 22
- 1
Hizi pembejeo za kilimo zinazo tolewa nchini!ni matatizo tupu.mkoa knjaro wilaya ya HAI MACHAME MASHARIKI 50% ya wajane yatima wamekosa.na nimojawapo ya watu wenye mashamba.chakushangaza,30% ya wasio kuwa na mashamba ndo wamepata ruzuku.nauliza je tutafika?ufisadi mpaka kwa wenye viti vs makatibu,Daah.