Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

Joined
Oct 2, 2014
Posts
42
Reaction score
4
Miji ya Tanzania inakua kwa kasi mwaka hadi mwaka. Kwa sababu ya ongezeko la watu biashara nayo inaongezeka. Je, zipi zitafit mazingira ya miji yetu?

Tafadhali, orodhesha mawazo ya biashara inayoendana na mazingira ya Bongo tubadilishane mawazo.

========
 
Ni pm hz biz idea km ziko poa tui-implement moja wapo ni mp nikupe email address uitume tuone cha kufanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…