THE MI6 INSIYDER
Member
- Oct 2, 2014
- 42
- 4
Miji ya Tanzania inakua kwa kasi mwaka hadi mwaka. Kwa sababu ya ongezeko la watu biashara nayo inaongezeka. Je, zipi zitafit mazingira ya miji yetu?
Tafadhali, orodhesha mawazo ya biashara inayoendana na mazingira ya Bongo tubadilishane mawazo.
========
Tafadhali, orodhesha mawazo ya biashara inayoendana na mazingira ya Bongo tubadilishane mawazo.
========
Habari zenu wakuu,
Nimeona watu wengi wanahitaji busines ideas hivyo nimeanzisha uzi huu maalum kwa faida ya wote, naomba kama unawazo lolote la biashara unayoamini inalipa basi tupia hapa ili tuweze pata mawazo mbalimbali nakuyafanyia kazi.
Mi naanza na haya;
- Car wash
- Kuuza dawa za nguvu za kiume
- Kuuza nafaka
- Kukopesha kwa riba
- Kufanya bodaboda (ya kwako)
NB; Andika kwa kifupi
Ahsanteni, Mungu awabariki.