Penalty ukichelewa kulipa ada Hii sheria ya wapi!!? Serikali mtusaidie

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty

Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi

Imenisikitisha Sana

Tunaomba wazirii HUSIKA alifwatilie hili
Bunge lisikae kimya lifwatilie HILI Jambo kwa manufaa ya WATOTO wajao

Kuna MAISHA BAADA ya KESHO

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE UWIII ADA TU SHIDA PENALTY SI KONYOO NIMEELEEWA KWANIINI wengi awamalizi degree ZAO hapo St augustine
 
unajua ngazi ya elimu ya chuo kikuu ww, kwa uwezo wako wa kufikiri hapo chuo cha saut bila hiyo sheria ya penalty kuna mtu wa kwenda kulipa ada? wanachuo wanapenda sana starehe kama ulevi, mapenzi, kucheza michezo ya kubet hela hata apewe milioni 10 hawezi kukumbuka kwenda kulipia ada chuoni zote zitaisha kwenye starehe hivyo acha uongozi wa chuo ufanye kazi yake.
 
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty

Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi

Imenisikitisha Sana

Tunaomba wazirii HUSIKA alifwatilie hili
Bunge lisikae kimya lifwatilie HILI Jambo kwa manufaa ya WATOTO wajao

Kuna MAISHA BAADA ya KESHO

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE UWIII ADA TU SHIDA PENALTY SI KONYOO NIMEELEEWA KWANIINI wengi awamalizi degree ZAO hapo St augustine
Penalty wanawasaidia tu ilibidi msipate usajiri wa mwaka wa masomo bila kukamilisha ada ya semister
 
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty

Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi

Imenisikitisha Sana

Tunaomba wazirii HUSIKA alifwatilie hili
Bunge lisikae kimya lifwatilie HILI Jambo kwa manufaa ya WATOTO wajao

Kuna MAISHA BAADA ya KESHO

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE UWIII ADA TU SHIDA PENALTY SI KONYOO NIMEELEEWA KWANIINI wengi awamalizi degree ZAO hapo St augustine
Acha kulialia. Elimu ya chuo kikuu si ya wote. Kama unadhani umasikini utakufanya upate excuse ya kuchelewa kulipa hiyo ada, jibu unalo. Sisi tumesoma hapo mbona ni jambo la kawaida?
 
Mbona benki zinazo ada za kuchelewa.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Saut hawana mchezo na penulty ni lazima ulipe nakumbuka mwaka 2010 nikiwa hapo yani hata kama umelipa ikabaki 50000 ukashindwa kuikamilisha penulty ya laki moja inakuhusu bila huruma la sivyo hupata id yenye namba ya mtihani.
Ki ukwel ile sheria ilikua inaumiza hasa kwa wale watoto wenye hali ya chini na sio wala bata
 
Chuo ni private hakina fedha za uendeshaji kutoka serikalini. Na hiyo ni biashara ya watu, ukifanya biashara hutazami maskini ila unatazama wateja. Labda kama ingekuwa kituo cha misaada hicho. Penalty haina excuse wala kuweka mazingira flani ya exceptions maana yangekuwepo kila mmoja angetaka kupendelewa na isingekuwa na maana. Systems kama zimekuwa commanded hivo basi hakuna namna.
 
Back
Top Bottom