Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
- Thread starter
- #21
kuna upigaji ambao unaendelea kujiuliza maswali mengi sana ....nakumbuka Yanga wameshatimua wapigaji wengi wazembe akiwemo Jobe Ayubu 'Kwasakwasa' na hivi karibuni simba walimtimua Mussa Mude ingawa kwa simba sishangai maana hata red card wanakutimuaKukosa penati hiyo kuliwatoa wachezaji mchezoni huku mashabiki wakinyong'onyea maana walishindwa kuamini aliyepiga ni Samatta au Abdi Kassim (Barrack wa Unguja aliyekuwa anapiga penati Kizenji)!