Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
3,251
Reaction score
6,299
Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box?

Reference simba vs Polisi Tanzania
Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
 
Mkuu, unataka kusemaje ?

Kwamba ile ilipaswa kuwa ni indirect free kick ?
 
Watajulia wapi! Wengi wao wanafanana kwa kila kitu na akina Hafidh.
 
Indirect free Kick inatokea iwapo:

  • Kipa atagusa kwa mkono au atadaka mpira aliorudishiwa na Mchezaji mwenzake.
  • Kipa atashika kwa mkono kwa mara ya pili mpira ambao aliuachia baada ya kuudaka bila ya kuguswa na mchezaji mwengine.
  • Kipa atadaka moja kwa moja mpira wa kurushwa aliorushiwa na mchezaji mwenzake bila ya kuguswa na mchezaji mwengine yoyote yule.

Hizo 👆 ndiyo Sheria za Indirect Freekick ndugu kama umeuliza kwa lengo la kutaka kufahamu na sio kubishana.

Note: Hakuna Indirect Freekick kwa Mchezaji Anapokuwa ndani ya Boksi lake (Penalty Area) kumchezea Faulo mchezaji wa Upinzani, Hiyo ni Penalty Kick.

Usiwe na shaka Marefa wa kwetu wanaijua hiyo sheria ya Indirect Freekick
 
Back
Top Bottom