Ahmad Abdurahman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 3,251 Reaction score 6,299 Oct 30, 2021 #1 Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,905 Reaction score 4,518 Oct 30, 2021 #2 Mkuu, unataka kusemaje ? Kwamba ile ilipaswa kuwa ni indirect free kick ?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 30, 2021 #3 Watajulia wapi! Wengi wao wanafanana kwa kila kitu na akina Hafidh.
Ahmad Abdurahman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 3,251 Reaction score 6,299 Oct 30, 2021 Thread starter #4 Mwanamaji said: Mkuu, unataka kusemaje ? Kwamba ile ilipaswa kuwa ni indirect free kick ? Click to expand... Nauliza tu, labda waamuzi wetu wana mazingira yao ya kutoa indirect free kick
Mwanamaji said: Mkuu, unataka kusemaje ? Kwamba ile ilipaswa kuwa ni indirect free kick ? Click to expand... Nauliza tu, labda waamuzi wetu wana mazingira yao ya kutoa indirect free kick
Ahmad Abdurahman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 3,251 Reaction score 6,299 Oct 30, 2021 Thread starter #5 Tate Mkuu said: Watajulia wapi! Wengi wao wanafanana kwa kila kitu na akina Hafidh. Click to expand... Inasikitisha sana. Ndo maana hawachezeshi mechi za CAF na FIFA
Tate Mkuu said: Watajulia wapi! Wengi wao wanafanana kwa kila kitu na akina Hafidh. Click to expand... Inasikitisha sana. Ndo maana hawachezeshi mechi za CAF na FIFA
King Ngwaba JF-Expert Member Joined Jan 11, 2015 Posts 3,117 Reaction score 6,897 Oct 31, 2021 #6 Indirect free Kick inatokea iwapo: Kipa atagusa kwa mkono au atadaka mpira aliorudishiwa na Mchezaji mwenzake. Kipa atashika kwa mkono kwa mara ya pili mpira ambao aliuachia baada ya kuudaka bila ya kuguswa na mchezaji mwengine. Kipa atadaka moja kwa moja mpira wa kurushwa aliorushiwa na mchezaji mwenzake bila ya kuguswa na mchezaji mwengine yoyote yule. Hizo 👆 ndiyo Sheria za Indirect Freekick ndugu kama umeuliza kwa lengo la kutaka kufahamu na sio kubishana. Note: Hakuna Indirect Freekick kwa Mchezaji Anapokuwa ndani ya Boksi lake (Penalty Area) kumchezea Faulo mchezaji wa Upinzani, Hiyo ni Penalty Kick. Usiwe na shaka Marefa wa kwetu wanaijua hiyo sheria ya Indirect Freekick
Indirect free Kick inatokea iwapo: Kipa atagusa kwa mkono au atadaka mpira aliorudishiwa na Mchezaji mwenzake. Kipa atashika kwa mkono kwa mara ya pili mpira ambao aliuachia baada ya kuudaka bila ya kuguswa na mchezaji mwengine. Kipa atadaka moja kwa moja mpira wa kurushwa aliorushiwa na mchezaji mwenzake bila ya kuguswa na mchezaji mwengine yoyote yule. Hizo 👆 ndiyo Sheria za Indirect Freekick ndugu kama umeuliza kwa lengo la kutaka kufahamu na sio kubishana. Note: Hakuna Indirect Freekick kwa Mchezaji Anapokuwa ndani ya Boksi lake (Penalty Area) kumchezea Faulo mchezaji wa Upinzani, Hiyo ni Penalty Kick. Usiwe na shaka Marefa wa kwetu wanaijua hiyo sheria ya Indirect Freekick
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,229 Oct 31, 2021 #7 Ahmad Abdurahman said: Inasikitisha sana. Ndo maana hawachezeshi mechi za CAF na FIFA Click to expand... Acha chuki, mbona wanachezesha?
Ahmad Abdurahman said: Inasikitisha sana. Ndo maana hawachezeshi mechi za CAF na FIFA Click to expand... Acha chuki, mbona wanachezesha?