Penati ya Ibrahim Ajib dhidi ya Stand United yasababisha mauti kwa shabiki wa Simba

Penati ya Ibrahim Ajib dhidi ya Stand United yasababisha mauti kwa shabiki wa Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Katika mechi iliyochezwa juzi kati ya Simba na Stand United baada ya matokeo kuwa 1-1 na kuingia kwenye matuta.

Jambo hilo lilipelekea kifo kwa mtu mzima mmoja eneo la Kiwalani ambaye alikuwa akiangalia mpira na watu wengine. Mara baada ya Ibrahim Ajibu kukosa penati, ndugu yule mpenzi wa Simba alianguka kwa mshtuko.

Leo imepatikana habari kuwa alienda kufariki hospitali. Kitaalam wanasema ni mshtuko wa moyo ndiyo ulimuondoa duniani.

Poleni wana Simba.
 
Mods toeni huu uzi haraka,siyo mahala pake
 
Back
Top Bottom