Kama walinunua bei ya juu ya zamani na bado wanayo, itajuwajeNchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani Kwa Kasi dhidi ya Dola .
Serikali itambue wananchi tunafuatilia kupanda huku Kwa sarafu yetu .
Hatutawaelewa Kama mwezi January Petro itakuwa zaidi ya Tsh 2500 Kwa Lita huko Daslam
Baada ya sikukuu tutarudi kwenye default modeNchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani Kwa Kasi dhidi ya Dola .
Serikali itambue wananchi tunafuatilia kupanda huku Kwa sarafu yetu .
Hatutawaelewa Kama mwezi January Petro itakuwa zaidi ya Tsh 2500 Kwa Lita huko Daslam
Kwa kifupi wanasiasa wengi ndio watesi wetu kwenye maeneo mengi ya kiuchumi!Kweli kabisa .
Tatizo viongozi tulionao wapo Kwa ajili ya familia zao tu
Ikiwa 1,050/= sio mbaya.Nchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani Kwa Kasi dhidi ya Dola .
Serikali itambue wananchi tunafuatilia kupanda huku Kwa sarafu yetu .
Hatutawaelewa Kama mwezi January Petro itakuwa zaidi ya Tsh 2500 Kwa Lita huko Daslam
Wewe ni kilazaWanasiasa wa upinzani ndo wangetakiwa ku comment kwenye mambo kama haya, ila wapo kimya kwahiyo serikali haiwezi kukumbuka kwamba yanastahili kushuka. wao wapo busy na mbowe na lisu
Ndiyo wamiliki wa vituo vya mafutaKwa kifupi wanasiasa wengi ndio watesi wetu kwenye maeneo mengi ya kiuchumi!
Wameshika maeneo yote nyeti from fuel, afya, miundombinu, usafirishaji etc...
Mzee usd mpaka sasa imeshuka kwa zaidi ya TZS 400,na bado inashuka,at least jan litre ya petrol inatakiwa iwe 1800Atleast ifike 2500
Iyo nashangaa sana. Umeongea aiseeMzee usd mpaka sasa imeshuka kwa zaidi ya TZS 400,na bado inashuka,at least jan litre ya petrol inatakiwa iwe 1800