Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Nchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani Kwa Kasi dhidi ya Dola .
Serikali itambue wananchi tunafuatilia kupanda huku Kwa sarafu yetu .
Hatutawaelewa Kama mwezi January Petro itakuwa zaidi ya Tsh 2500 Kwa Lita huko Daslam