hapana
heee ndo hivyoBebee mimi tayari mbona.
Hivi wewe kwani una sauti kwa mkeo au unajitutumue mbele ya watu na wewe uonekane kidumehapana
Nitachafua hali ya hewa[emoji23][emoji23]. Halafu tayari nilishafanyiwa na dj sepetu mwaka juzi I think.Sisi ndio tunajua kufaa au kutokufaa kwenu.
Aiseeee aibu nimeona mimiHivi wewe kwani una sauti kwa mkeo au unajitutumue mbele ya watu na wewe uonekane kidume
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kitu dada
Na uendelee kuona aibu peke yako mimi sitaki kuendelea kuona aibu kwa sababu ya mkeoAiseeee aibu nimeona mimi
tatizo hujawahi kuniambia kuhusu wifi yako kama uliyajua ukachagua kukaa kimyaNa uendelee kuona aibu peke yako mimi sitaki kuendelea kuona aibu kwa sababu ya mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂ww unafaaa...hahahahHa haaa sifai hata kidogo
Nilikwambia tangu mwanzo, samaki mkunje angali mbichi mkanichangia na mkeo eti nina gubu...ndio ulinywe sasa umelikoroga peke yako unataka unywe na nani hahahaafanya kitu dada
Mweh[emoji23][emoji23][emoji23]ww unafaaa...hahahah
Nikwambie we huna macho? Yaani wewe sijui umelishwa limbwata! Khaatatizo hujawahi kuniambia kuhusu wifi yako kama uliyajua ukachagua kukaa kimya
huyu sawa..
sikuwa mimi labda alitumia simu yangu na yake kukuandama kwa maneno ila sio mmNilikwambia tangu mwanzo, samaki mkunje angali mbichi mkanichangia na mkeo eti nina gubu...ndio ulinywe sasa umelikoroga peke yako unataka unywe na nani hahahaa
Sent using Jamii Forums mobile app