sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
HahahahaTujue auntie kama kweli anacho ujue sio unakubali kwenda uko kingozi hana mnuno wake sio wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaTujue auntie kama kweli anacho ujue sio unakubali kwenda uko kingozi hana mnuno wake sio wa nchi hii
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kingozi jamani
Ndioo auntie ndio mana tunauliza kabisa tujue[emoji85][emoji85]
Akikutana na kingozi atafurahi zaidiLengo langu aendelee kufurahi
Hahahahha hivi nitakuwa nakipenda eeenh sababu sijawahi hata kukutana nachoHahaha
Unaonekana unakipenda sana kingozi?
Hahaha hahaha
bora ujioneeheee ndo hivyo
Basi itabidi nikutafutie bebee wa kimasai,ili uweze kukishuhudia kwa macho yako!Hahahahha hivi nitakuwa nakipenda eeenh sababu sijawahi hata kukutana nacho
Nani huyoHahaha hahaha
Naona unataka kunishawishi nimkubali yule Ben 1 wako
Mwanaume wa kutafutiwa sio mzuri kabisaBasi itabidi nikutafutie bebee wa kimasai,ili uweze kukishuhudia kwa macho yako!
SabosaboNani huyo
Ni kabe10 kumbeSabosabo
Hahaha hahaha hahahaNi kabe10 kumbe
@Sakayo huyo bwana ndio amekuita etiDaah
Kwakweli hizi dharau za hali ya juu sana!
Najua ni yeye Mkuu@Sakayo huyo bwana ndio amekuita eti
Hahahhaha tatizo sisi tuna anko wetu ujue ndio tunayemjuaNajua ni yeye Mkuu
Wakati nimempokea kabisa na Uzi wake wa hodii kipindi hicho..hahaha
Basi tu ananifanyia visa nisiwe na Auntie yenu