Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Real b.i.t.c.h.e.s streetKuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue!
changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu!
Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya njia!
Imenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!
Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!
Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!
Naomba Pendekezo la jina zuri la kuita njia hii Nibandike kibao cha mtaa!
(nataka jina lenye maana nzuri kwa mtaa)
Malizia wewe. Mimi wino umeisha.
Malizia wewe. Mimi wino umeisha.
Sawa sawa
Magufulikazi streetDuuu wote mnataja majina ya Vimombo tu, iteni majina ya kiswahili wadogp zangu. Punguzeni utumwa Vichwani nyie Vijana.
Iite JF street kama njia mojawapo ya kuienzi JamiiForumsKuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue!
changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu!
Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya njia!
Imenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!
Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!
Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!
Naomba Pendekezo la jina zuri la kuita njia hii Nibandike kibao cha mtaa!
(nataka jina lenye maana nzuri kwa mtaa)
Hongera sana mkuu mwenye akili amejifunza wala usisumbuke namajina mengi iyo sehemu ipe jina linalokuhusu ww moja kwa moja ili kila uchwao waendelee kukutaja nakukumbuka wao na vizazi vyaoImenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!
Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!
Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!
Kwa kumbukumbu ni zuri. Lakini watakudokoa wale jamaaHii nzuri lakini hawatanisumbua kweli wale jamaa?