Pendekeza jina zuri la kuita njia ya mtaani kwangu niliyouziwa

Kuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue!

changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu!

Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya njia!

Imenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!

Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!

Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!

Naomba Pendekezo la jina zuri la kuita njia hii Nibandike kibao cha mtaa!

(
nataka jina lenye maana nzuri kwa mtaa)
Real b.i.t.c.h.e.s street
 
Iite JF street kama njia mojawapo ya kuienzi JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!

Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!

Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!
Hongera sana mkuu mwenye akili amejifunza wala usisumbuke namajina mengi iyo sehemu ipe jina linalokuhusu ww moja kwa moja ili kila uchwao waendelee kukutaja nakukumbuka wao na vizazi vyao
 
Back
Top Bottom