Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu watanzania,

Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.

Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.

Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?

Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.

.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.

. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.

. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.

. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM

. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.

. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.

. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro

. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.

Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Halafu itasaidia nini kama siyo upuuzi tu. 🚮
 
Kwani wewe hufahamu kazi ya mbunge na wabunge Bungeni? Hujuwi hao ndio watunga sera na sheria? Hujuwi hao ndio wapitishaji wa bajeti baada ya kuijadili? Hujuwi hao ndio wanajadili mustakabali mzima wa maisha ya kila siku ya watanzania? Hujuwi hao ndio wanaweza fanyia marekebisho kitu chochote kile kinacholalamikiwa au ombwa na watanzania? Hujuwi hao ndio washauri wa serikali juu ya Masuala mbalimbali?
 
Napendekeza pia nawe uingie bungeni mkuu,
Penginepo unaweza nipa kazi hata yakuwa dereva wa shangingi lako utakalopewa na serikali

Hakikaa nitabubujikwa na machozii
 
Kwani wewe hufahamu kazi ya mbunge na wabunge Bungeni? Hujuwi hao ndio watunga sera na sheria? Hujuwi hao ndio wapitishaji wa bajeti baada ya kuijadili? Hujuwi hao ndio wanajadili mustakabali mzima wa maisha ya kila siku ya watanzania? Hujuwi hao ndio wanaweza fanyia marekebisho kitu chochote kile kinacholalamikiwa au ombwa na watanzania? Hujuwi hao ndio washauri wa serikali juu ya Masuala mbalimbali?
Kazi ya wabunge wa ccm ni kuunga tu mkono hoja, kuisifia serikali, kusifia vitu vya kijinga, kupiga vigelelege, na kugonga meza.
 
Back
Top Bottom