Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Wanasiasa Uchwara huwa hawaamini kama Mungu yupo mpaka kwenye Siasa !
Wao wanaamini Mungu yupo kwenye Makanisa na Misikitini tu na kwenye shughuli nyingine lakini kwenye Siasa huwa hayupo kabisa !

Ndio maana huwa hawaoni tabu kumpoteza au kumdhuru au kumdhalilisha yeyote wanayemuona wao kuwa hoja zake ni nzito zitawaamsha watu !!
 
Wanaamini Mungu yupo na ndio maana huapa huku wakiwa wameshikilia vitabu vitakatifu.
 
Uchawa
 
Hayo wasema wewe kutokana na ufinyu wa akili yako😀😀😀
Ni kawaida kwa kilaza kujiona ana akili. Ila nina uhakika wewe una akili za kukuwezesha tu kula na pia kwenda chooni kukakata gogo. Nje ya hapo, wewe ni empty head tu kama ilivyo kwa hao mabosi wako.
 
Ni kawaida kwa kilaza kujiona ana akili. Ila nina uhakika wewe una akili za kukuwezesha tu kula na pia kwenda chooni kukakata gogo. Nje ya happ, wewe ni empty head tu kama ilivyo kwa hao mabosi wako.
Kama kuandika tu kwenyewe kunakushinda ,ni wapi sasa utapatia hizo akili?
 
Kama kuandika tu kwenyewe kunakushinda ,ni wapi sasa utapatia hizo akili?
Rudi Mbozi ukalime kahawa masikini wewe. Hii biashara ya u CHAWA waachie akina Mwijaku. Elimu yenyewe ni form four failure, halafu unafikiri kuna mtu atakuona!
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika, Sugu, Godbless Lema, na kama hawa wakikosekana bungeni hakuna bunge hapo.
 
Suleiman bungara aka bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…