Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Kwani hawa uliowataja wakibaki kwenye nyazifa zao walizonazo sasa Kuna shida gani!? Kwanini ubunge!?
 
Rudi Mbozi ukalime kahawa masikini wewe. Hii biashara ya u CHAWA waachie akina Mwijaku. Elimu yenyewe ni form four failure, halafu unafikiri kuna mtu atakuona!
Acha kunidhalilisha wewe.mimi nimepiga shule na kumaliza madarasa yote.
 
Mbona hujamweka Humphrey polepole.lakini pia wale COVID 19 wanatakiwa warudi bungeji aiseee
 
We ni kenge tu
 
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.enenda na amani ya Bwana
Wewe ndio wa kusamehewa kazi kujikomba na kusifiasifia wengine huku ukijidharaulisha kwa Mungu kwamba alikuumba kiumbe kisichofaa na kisichojithamini.
Ach kumkufuru Mungu kwa kujidharaulisha na kusifiasifia wengine utafikiri wewe sio binadamu kamili
 
Umesamehewa dhambi zako zote.
 
Acha mambo ya Udini na ubaguzi yanayoweza kuchochea chuki miongoni mwa watanzania.
Huu upuuzi siku hizi haukubaliki
Ule ujinga wa kujifanya hao ndio wamesoma haupiti, kila mtu amesoma
Na hao kusoma kwao miaka yote ndio wameifilisi nchi kwa kuwa walisomea ujinga
Weka 50/50, au kaa kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…