Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

Analijua hilo ndio maana anafanya jitihada jiwe aendelee.

Idi Amin aliwahi kusema 'Whenever there is change of power in Africa a few heads must go'.
 
Naona ukapimwe akili
 
Naona ukapimwe akili
kwamba Sirro hagusiki siyo ? ngoja nikupe ushuhuda mdogo .

Omari Mahita aliyekuwa IGP katili kuliko wote africa , baada ya kustaafu aliburuzwa mahakamani kwa kesi ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kukataa matunzo ya mtoto , aliaibishwa wazi wazi bila huruma na ccm aliyoitumikia haikuwahi kumuokoa .
 

Chama gani kinaweza kuondoa chama tawala, CCM madarakani?! By hooks and crooks, chama cha Prof Mkumbo wakati huo (ACT-Wazalendo)kamwe hakitakubali kushirikia na CHADEMA kungoa mizizi ya Chama tawala! 2015 kilimuita by then mpinzani Mkuu wa chama tawala Mhe Edward Lowassa fisadi. Maalim Seif karukia moto badala ya kujiunga na chama rafiki(by then) Chadema! What a pity!CCM ilikuwa ICU 2015 wakashindwa, leo CCM iko kama TANU ya 1976 yaani chama kimeshika hatamu kwenye nyanja zote mpaka nje ya mipaka ya Tz. Narudia tena ACT-Wazalendo wabunge Bara null and void, NCCR, TLP, CUF, NRA, UDP, CHAUMMA, hawatavuna mbunge hata mmoja Bara wala Visiwani, yetu macho!walizembea 2015!
 
Chadema itaiondoa ccm madarakani kwa msaada wa umma
 
Siamini kama hajui chanzo cha tatizo ni hao wasimamizi wa uchaguzi,hana la kufanya zaidi ya kutetea kibama chake kisiingie mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…