Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi.
Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu