Pendekezo: Eng. Kakoko amrithi Patrick Mfugale

Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.

Ni mawazo tu
Kwa hiyo zile tuhuma zake za TPA tumemsamehe?
 
Wait, wait, how could you name a person under probe to have highest level of integrity and veracity?
 
Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi.

Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.

Ni mawazo tu
pale TAN ROADS kuna watu wengi tu wasomi na wenye uzoefu
 
Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi.

Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.

Ni mawazo tu

Halafu kama na sura yake inaendana endana na Eng.Mfugale
 
Wait, wait, how could you name a person under probe to have highest level of integrity and veracity?

You have said it already that he is under probe/scrutiny and not convicted with any criminal offence.
Having been alleged with criminal allegations does't ruin your integrity status until the Court of Laws decrees it's verdicts
 
Kwani hakuna watu wengine?
Mtu kusimamishwa kazi kwa tuhuma bado ateuliwe tena
 
Mimi ni msomi ,wa Degree 7..niko nje ya Tanroad, najua dizain za madaraja makubwa makubwa..na madogo madogo bila kusahau mabarabara ,ila jina sijulikani mana sijipendekezi pendekezi kwa wanasiasa....Niteueni mtawasahau wote waliopita..!!!nmenyosha mkono juu mnione!!
 
Hao unawajua wewe kwavile mko ofisi moja.
Tweleze wameplay part kiasi gani kulijenga taifa
Ndugu.
Wahandisi wapo wengi sana wenye weledi usio tia shaka.
Vipi kuhusu Eng.Prof. Ninatubu Lema.
Eng. Prof. Nyaoro na wengine wengi tu including na sisi mwenyewe.
 
Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi.

Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.

Ni mawazo tu

Si una kesi na mama wewe au unajisahaulisha tu
 
Tatizo wizi
 
Sawa tu kwa utabiri

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi.

Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.

Ni mawazo tu

Big No
 
Engineer wa mkoa wa Geita mi naona yupo vizuri kushika hiyo nafasi.
 
Tatizo ni kwamba nafasi ya mtendaji mkuu wa TANROADS ni international, na pia ni ya kuomba kutokana na sifa, , sio ya kuteuliwa na RAIS ama mamlaka nyingine.
Kwa sasa nadhani yupo Eng Akon anaweza kuact mpaka atakapopatikana mwingine.
Kumbuka Ado(mghana aliwahi kuwa mtendaji kabla ya Mfugale)
 
Back
Top Bottom