Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Huyu hatakiwi kwa vile anapinga wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea wa akina Jakaya Kikwete wa bandari ya Bagamoyo.Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Hii ni kazi ya umma. Kama rais anarithiwa kabla ya kuzikwa nini mbaya hapa mwanangu?Marehemu hata hajazikwa mmeshaanza maneno!!
Magufuli kabla hazikwa tayari Samia alishaapishwa.Marehemu hata hajazikwa mmeshaanza maneno!!
Mkuu mbona kuna wahandisi wengi tu sana CV kubwa kushinda kakoko ...!Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Huko TANROADS siyo ndiyo atatupiga juu kwa juu. Barabara ya kudumu miaka zaidi ya 20, itadumu mwaka mmoja tu. Madaraja yatabomoka kila siku. Bora aendelee kuchapa lapa mtaani tuUkiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Mkuuu watu ni wengi wenye sifa zaidi ya hizo za Kakoko wako.sema hawajapewa nafasi waonyeshe makali Yao. Haiwezakani mtu alikuwa mbunge afu awe dc Kama vile hakuna vijana wa kujaza iyo nafasi.Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Una uthibitisho wa unayoyasema?Huyu hatakiwi kwa vile anapinga wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea wa akina Jakaya Kikwete wa bandari ya Bagamoyo.
Amrithi sio amrisiUkiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Tusimpangie mama...tuachane na speculations...mara vile mara hivi mara bandari ya bagamoyo...vitu vya kubunibuniUkiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri wa Ujenzi. Eng. Kakoko is well mannered, educated, and hard-worker guy with the highest level of integrity and veracity. Kwasasa Eng. Kakoko yuko mtaani baada ya kusimamishwa kazi na Mama Samia Saluhu kwa tuhuma ambazo zinamkabili.
Ni mawazo tu
Tusimpangie mama...tuachane na speculations...mara vile mara hivi mara bandari ya bagamoyo...vitu vya kubunibuni