Pendekezo: Eng. Kakoko amrithi Patrick Mfugale

Kwa hiyo zile tuhuma zake za TPA tumemsamehe?
 
Wait, wait, how could you name a person under probe to have highest level of integrity and veracity?
 
pale TAN ROADS kuna watu wengi tu wasomi na wenye uzoefu
 
Halafu kama na sura yake inaendana endana na Eng.Mfugale
 
Wait, wait, how could you name a person under probe to have highest level of integrity and veracity?

You have said it already that he is under probe/scrutiny and not convicted with any criminal offence.
Having been alleged with criminal allegations does't ruin your integrity status until the Court of Laws decrees it's verdicts
 
Kwani hakuna watu wengine?
Mtu kusimamishwa kazi kwa tuhuma bado ateuliwe tena
 
Mimi ni msomi ,wa Degree 7..niko nje ya Tanroad, najua dizain za madaraja makubwa makubwa..na madogo madogo bila kusahau mabarabara ,ila jina sijulikani mana sijipendekezi pendekezi kwa wanasiasa....Niteueni mtawasahau wote waliopita..!!!nmenyosha mkono juu mnione!!
 
Hao unawajua wewe kwavile mko ofisi moja.
Tweleze wameplay part kiasi gani kulijenga taifa
Ndugu.
Wahandisi wapo wengi sana wenye weledi usio tia shaka.
Vipi kuhusu Eng.Prof. Ninatubu Lema.
Eng. Prof. Nyaoro na wengine wengi tu including na sisi mwenyewe.
 
Si una kesi na mama wewe au unajisahaulisha tu
 
Tatizo wizi
 
Sawa tu kwa utabiri

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Big No
 
Engineer wa mkoa wa Geita mi naona yupo vizuri kushika hiyo nafasi.
 
Tatizo ni kwamba nafasi ya mtendaji mkuu wa TANROADS ni international, na pia ni ya kuomba kutokana na sifa, , sio ya kuteuliwa na RAIS ama mamlaka nyingine.
Kwa sasa nadhani yupo Eng Akon anaweza kuact mpaka atakapopatikana mwingine.
Kumbuka Ado(mghana aliwahi kuwa mtendaji kabla ya Mfugale)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…