KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu 'Joselela,' sasa naona tatizo lako lilipo. Hujui maana ya "vitu feki" ni nini.Feki hapana aisee niambie ni less-quality ambao huletwa kulingana na hali za kiuchumi za wananchi zilivyo.
Hiyo uliyoipachika jina la "less-quality", ni kitu gani hicho? Soko haliwezi kuwa na vitu vya aina hiyo; kwamba pawepo na vitu vinavyotengenezwa kwa makundi maalum vyenye ubora tofauti.
Ni lazima pawepo na viwango vinavyofuatwa kwa kila bidhaa inayouzwa sokoni bila ya kubagua ni watu gani wanastahili kuvinunua.