Pendekezo: Job Ndugai avuliwe Uspika wa Bunge

We siulikuwa unasema mama Samia hafai, yaani mapema tu mnamuhukumu mtu, haya leo serikali yake imeridhia walipwe haki zao hao kina Lissu, Kama Ni habari ya kweli!!
 
Lakini Kachaguliwa na Watu hajateuliwa.
 
Acha wivu wa chike😜!
 

Mkuu umeandika vyema ila kwa katiba hii na composition ile ya wajumbe akiwamo mzee Matiko yata hitajika kujipanga kweli kweli.

Kwamba hashitakiwi kwa lolote awapo kwenye hicho kiti na kwamba kinadharia mihimili haiingiliani, kote kumejaa ukakasi wa kutosha.

Options zinazobaki Mama mlinzi mkuu wa katiba atiye neno la kimamlaka hapa.

Kule majalalani labda zifunguliwe kesi za migogoro ya kikatiba na waheshimiwa kule tutegemee mwenye maelekezo yake kutokea juu, mwenye nayo hakuyabakiza alivyoondoka mbele kwa mbele.

Letu tunalo limudu kikamilifu ni kwenye katiba mpya. Waache waendelee kutupa ammunitions zaidi kwenye kuwananga nazo hadi hata kina Joni wa huko huko usukumani wakatuelewa.
 
Yote mabaya Ndugai aliyafanya kwa kukubali kutii maagizo ya JPM. Hivyo udhaifu wa Ndugai umelifanya Bunge kuwa sio mhimili unaojitegemea.

Mtuhumiwa namba moja wa kuwajibika alikuwa ni JPM, Tayari watu wa kitengo walifanya yao na huku kwenye Mahakama tunaona wameanza kufanya kitu kwa maslahi ya Taifa.

Bado hapo Bungeni natamani watu wa kitengo wafanye kitu kuanzia kwa Spika hadi kwa wale Covid -19
 
Tusubiri Mungu mwenyewe atamwadhibu
 
CCM hii Katiba ya sasa hawaifuati, na Katiba Mpya hawaitaki, sijui wanataka kutawala kama Serikali iliyopinduliwa na Majeshi yasiyokuwa na Nidhamu.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
 
Acha ukurupukaji binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…