Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Umeshangaa kwanini nimeacha furaha namba moja sio? kweli hii itakwa furaha ya tatu kwa Watanzania samahani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshangaa kwanini nimeacha furaha namba moja sio? kweli hii itakwa furaha ya tatu kwa Watanzania samahani mkuu
Itakuwa ya 3
Piga pepsi moja mkuuKabisa ile nyingine ilikuwa meja one mpk sasa nikikumbuka bado nakuwa na furaha ya moyo
Asante mkuu umesikia na huko mahakama kuu wale wapinzani saba waliodhulimiwa mil 350 zinarejeshwa aisee mambo ni makubwa zaidi tujuavyoPiga pepsi moja mkuu
Sijaipata hiyo mkuu, nipe ubuyuAsante mkuu umesikia na huko mahakama kuu wale wapinzani saba waliodhulimiwa mil 350 zinarejeshwa aisee mambo ni makubwa zaidi tujuavyo
Ile case walioshitakiwa Mh, Freeman Mbowe na wenzake 7 na hatimae wakapigwa fain ya mil 350. na kupelekwa magereza. wameamuru warudishiwe fedha zaoSijaipata hiyo mkuu, nipe ubuyu
Nimeona mkuuIle case walioshitakiwa Mh, Freeman Mbowe na wenzake 7 na hatimae wakapigwa fain ya mil 350. na kupelekwa magereza. wameamuru warudishiwe fedha zao
Uone jinsi tulivyokuwa gizani............ tuzidi kumshukuru Mungu kwa kweli heunda angekuwepo hadi leo hii tusingekuwa hata tunatype hapaNimeona mkuu
Huyu mwendawazimu alichewa hata hivyo kufaUone jinsi tulivyokuwa gizani............ tuzidi kumshukuru Mungu kwa kweli heunda angekuwepo hadi leo hii tusingekuwa hata tunatype hapa
Yaani nimecheka kwa sauti ya juu utadhani mazuri hakika umenena alitakiwa kipindi kile kile cha kwanza alivyoanza mapicha picha tuu. Ila nakumbuka ile ya Ruangwa ndio ilikuwa iondoke nae mazima................ Ona sasa katuachia bunge la hovyo haijawahi kutokea mtu anadhubutu kusimamisha pu........ zake na kusema mshahara ni mdogo shame on himHuyu mwendawazimu alichewa hata hivyo kufa
Tulisema na kumwambia huyo mama avunje bunge, angelivunja angekua yupo pazuri sanaHii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.
Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa.
Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.
Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.
Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa
kuna mtu anawashwa.![]()
Spika Ndugai apiga marufuku Bunge kugharamia anasa za Wabunge
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kuwa ofisi ya Bunge itagharamia viburudisho kwa wabunge tu wawapo katika vyumba vya watu maarufu (VIP) kwenye viwanja vya ndege.www.tanzaniaweb.com
Kuna sehemu nikawa nazunguza habari za bungeni.....nilipomtaja ndungai tu...nikaona kila moja yuko bize kivyakeHii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.
Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa.
Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.
Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.
Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa
Ahaaaa hongera Spika Ndugai. Wewe ni gongo kama sio fimbo kwa wenye vichwa maji kwa kutaka kugeuza Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuwa political theatre baada ya kutengeneza scrtipt zao uchochoroni.Kuna sehemu nikawa nazunguza habari za bungeni.....nilipomtaja ndungai tu...nikaona kila moja yuko bize kivyake
Mpaka kufa?????Anatakiwa ashitakiwe na anyongwe
Kwanza spika mwenyewe mfu anatembelea sindano!! Akili haiko sawaKwa bahati mbaya wanaoweza kumvua madaraka kisheria mpaka sasa wanamuona Ndugai ni bonge la spika, maana anaweza kusimamia maslahi yao. Aina ya uspika wa Ndugai ulimfaa sana rais muovu kama aliyepita. Unapokuwa na bunge lililopatakina kwa uchaguzi wa kishenzi kama uliopita, usitegemee spika wa bunge la hivyo ataondolewa, labda yafanyike Mapinduzi.
Tena haraka snMpaka kufa?????