Pendekezo: Job Ndugai avuliwe Uspika wa Bunge

Huyu mwendawazimu alichewa hata hivyo kufa
Yaani nimecheka kwa sauti ya juu utadhani mazuri hakika umenena alitakiwa kipindi kile kile cha kwanza alivyoanza mapicha picha tuu. Ila nakumbuka ile ya Ruangwa ndio ilikuwa iondoke nae mazima................ Ona sasa katuachia bunge la hovyo haijawahi kutokea mtu anadhubutu kusimamisha pu........ zake na kusema mshahara ni mdogo shame on him
 
Tulisema na kumwambia huyo mama avunje bunge, angelivunja angekua yupo pazuri sana
 
Kuna sehemu nikawa nazunguza habari za bungeni.....nilipomtaja ndungai tu...nikaona kila moja yuko bize kivyake
 
Kuna sehemu nikawa nazunguza habari za bungeni.....nilipomtaja ndungai tu...nikaona kila moja yuko bize kivyake
Ahaaaa hongera Spika Ndugai. Wewe ni gongo kama sio fimbo kwa wenye vichwa maji kwa kutaka kugeuza Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuwa political theatre baada ya kutengeneza scrtipt zao uchochoroni.
 
Kwanza spika mwenyewe mfu anatembelea sindano!! Akili haiko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…