Tanzania Bureau of Investigation(TBI) ipo miaka mingi sana, ukienda ghorofa ya Saba wizara ya mambo ya ndani Dar utawakuta hapo wamejaaa na kazi wanapiga sanaaa.
Wa polisi ni ma CID, na wao wanafanya kazi nzuri sana.
Sio lazimahalafu watakaopata ajira wawe ni haohao polisi.
Polisi imepewa mamlaka makubwa sana ndio maana mada hii unaiona hapa.Hata ikitengwa,,watumishi wake pia waharifu watakuepo
Ni kama ilivyo TAKUKURU pia inawafanyakazi wala rushwa
Kuna Jambo inabidi nikueleweshe Mkuu, kinahamishwa kitengo askari Ni wale wale ila hawaripoti kwa RPC bali wanaripoti kwa DPP, sanasana gharama itakua kuihamisha madawati yao na reallocation ya mishahara yao toka polisi kwenda ofisi ya DPP.Study your kantri kabla ya kutoa maoni ya marekebisho ya kimuundo (re-establishment). Lakini pia ni utafiti ulionyesha root-cause ya tatizo? Where to get the funds to run an independent bureau? Hujui kilio kikubwa cha kutoongezwa kwa mishahara ya watumishi wa umma na hata aho kwenye state apparatus ni kwa sababu tunatumi kila mwezi zaidi ya 5.5Bn kulipa mishahara tu? Na tunakusanya kwa wastani 1.3T. Tutabakiwa na nini kwa ajili ya JKN H.E.P. kule Rufiji? SGR? ATCL? ZAHANATI? HOSPITALI ZA WILAYA? ULINZI?
Namaanisha kuanzisha taasisi nyingine bila sababu iliokuwa ya nguvu ni kuiongeza matumizi ya fedha za umma na hivyo kuwa recurrent expenditure kubwa saaaaana kuliko development expenditure.
Mi nilidhani shida yako ilikuwa kuundwa kwa idara hiyo? kumbe shida zako nyingi?Director anatakiwa ateuliwe na Rais.. na nchi nyjngi taasisi kama hizi zi akuwa chini ya ministry of justice na sio mambo ya ndani.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Polisi nao wanatakiwa kupelelezwa.
Pili ufanisi ni mdogo sana kwa sasa.
Jeshi la polisi libakie na jukumu lake la kilinda raia na mali zao
Kitolewe kwasababu zipi?Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Wacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Unaoongea nao humu Jf wengi ni mavuvuzela wanaotafuta uteuzi. Ngoja uone watakavyokujibu.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.