Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

Director anatakiwa ateuliwe na Rais.. na nchi nyjngi taasisi kama hizi zi akuwa chini ya ministry of justice na sio mambo ya ndani.
Tanzania Bureau of Investigation(TBI) ipo miaka mingi sana, ukienda ghorofa ya Saba wizara ya mambo ya ndani Dar utawakuta hapo wamejaaa na kazi wanapiga sanaaa.
Wa polisi ni ma CID, na wao wanafanya kazi nzuri sana.
 
Hata ikitengwa,,watumishi wake pia waharifu watakuepo

Ni kama ilivyo TAKUKURU pia inawafanyakazi wala rushwa
Polisi imepewa mamlaka makubwa sana ndio maana mada hii unaiona hapa.

Arrest, investigation n.k

Hii ya investigation inawasumbua sana wananchi na wakati mwingine watu wanaonewa sana.
 
Wakati kesi nyingi zina siasa ndani yake.
DPP naye amulikwe
 
Study your kantri kabla ya kutoa maoni ya marekebisho ya kimuundo (re-establishment). Lakini pia ni utafiti ulionyesha root-cause ya tatizo? Where to get the funds to run an independent bureau? Hujui kilio kikubwa cha kutoongezwa kwa mishahara ya watumishi wa umma na hata aho kwenye state apparatus ni kwa sababu tunatumi kila mwezi zaidi ya 5.5Bn kulipa mishahara tu? Na tunakusanya kwa wastani 1.3T. Tutabakiwa na nini kwa ajili ya JKN H.E.P. kule Rufiji? SGR? ATCL? ZAHANATI? HOSPITALI ZA WILAYA? ULINZI?
Namaanisha kuanzisha taasisi nyingine bila sababu iliokuwa ya nguvu ni kuiongeza matumizi ya fedha za umma na hivyo kuwa recurrent expenditure kubwa saaaaana kuliko development expenditure.
Kuna Jambo inabidi nikueleweshe Mkuu, kinahamishwa kitengo askari Ni wale wale ila hawaripoti kwa RPC bali wanaripoti kwa DPP, sanasana gharama itakua kuihamisha madawati yao na reallocation ya mishahara yao toka polisi kwenda ofisi ya DPP.
 
Director anatakiwa ateuliwe na Rais.. na nchi nyjngi taasisi kama hizi zi akuwa chini ya ministry of justice na sio mambo ya ndani.
Mi nilidhani shida yako ilikuwa kuundwa kwa idara hiyo? kumbe shida zako nyingi?
Rais akiteua mnasema anateua kila kitu yeye, kwani hiyo idara kuwa ndani ya wizara ya mambo ya ndani kumekosekana nini ulichohitaji wewe? Wale watu wako trained vizuri sana, na vifaa kwa sasa wanavyo vingi, kunaweza kuwepo mapungufu ya hapa na pale lakiniu wanajitahidi sanaa kwa taarifa yako.
Idara zote zipo na zimekamilika, sasa ukizihamisha wizara ndio zitafanya nini tofauti labda, au nini hawafanyi kwa kuwa wako wizara ya mambo ya ndani?
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.

Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
 
mzee kama hujui ungeuliza, ndani ya nchi yetu kuna vikosi vingi vya dhahiri na vya siri, ukiwa nje kwa jicho la kawaida huwezi kuvigundua, kwa kifupi upelelezi umeanzia mbali sana, kuna boda boda, washona viatu, wafanyabiashara ndogo ndogo, waganga wa kienyeji, mabalozi wa mitaa, mabarozi wa vijiji, wahudumu wa baa, watangazaji, waandishi wa habari, mapolisi, wanajeshi, askri magereza, zimamoto, uhamiaji, mgambo nk. n.k.... ila sijasema kuwa wote nilio wataja hapo ni wapelelezi ila ndani ya hayo makundi kuna wapelelezi ambao sio polisi ila nao ni wapelelezi wenye malengo tofauti tofauti kutokana na mahitaji husika.

kikosi cha INTELIJENSIA ndani ya jeshi la polisi kimefanya kazi kubwa, na kitaendelea kufanya kazi nzuri, hakitaondolewa kama unavyodhani isipokuwa kitazidi kuimarishwa ili waweze kupambana na majanga ambayo unadhani wameshindwa kufanya.
 
wazo zuri.... ila itapoteza maana kukitoa kabisa. Polisi watakamata ovyo.

Labda kiundwe chombo seperate kama ilivyo FBI
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.

Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
 
Polisi nao wanatakiwa kupelelezwa.

Pili ufanisi ni mdogo sana kwa sasa.

Jeshi la polisi libakie na jukumu lake la kilinda raia na mali zao

Paundwe POLICE OVERSIGHT BUREAU(POB) hii kazi yake ni kufuatilia utendaji wa jeshi la pPolisi ikiwemo VETTING ya Makamanda. Itasaidia pakubwa
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.

Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Kitolewe kwasababu zipi?
Weka sababu na sio kuleta maada za kutaka jambo lifanyike kwa manufaa au chuki zako au kwa kuiga
 
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.

Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.

Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.

Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.

Tanzania Bureau of Investigation.
Unaoongea nao humu Jf wengi ni mavuvuzela wanaotafuta uteuzi. Ngoja uone watakavyokujibu.
 
Back
Top Bottom