Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Ndyo maana USA kuna police, SWT, FBI, CIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...kwani pesa ni zakwako au za umma? acha mikwala basi wewe kokoto mtoto wa jiwe!Sina hela ya kuchezea kutekeleza mnachotaka.
Ndani ya polisi kuna vitengo mbali mbali... Je umepata muda kupitia vitengo hivyo na ufanyaji wake wa kazi? Na je tuna takiwa kuviondoa polisi kutengenezea taasisi yake tofauti na polisi au ndani ya polisi?Upepelezi unahitaji professionalism. Hivyo kuwaachia hilo jukumu polisi siyo sawa kabisa.
Kawadanganye wasiofika Rwanda
Rushwa itahama kutoka polisi kwenda huko kitengo kipya. Watu ni wale wale (watanzania). Kwangu mimi tatizo liko kwetu (watu) na siyo idara.Vilevile ile bureau ikianzishwa itapunguza urasimu na rushwa kwa kiasi kikubwa ndani ya jeshi la polisi
Yote tisa wanatisha kwenye kuanzis fake kasi nakuwadhulumu wanyonge. Hili nimemwandik hata IGPMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
TISS hawawezi kutoa ushahidi mahakamani, TAKUKURU wamepewa mamlaka kwenye masuala ya rushwa pekee.
tunahitaji taasisi mpya itakayofanya kazi kwa uhuru na weledi
Kwa kweli mie navyoona ni nchi chache tena hasa za Africa ndo tumebaki na Ivestigation departments ndani ya Police... Nchi zingine unakuta idara za upelelezi hazihusiani kabisa na Police na huwa wanakuwa powerful kupenya popote, vitambulisho vyao ni vizito saaana mpaka Police wanawaogopa. Chukulia mfano India, Pakistan, FBI ya America au SFO ya UK ziko independent mpaka vibopa wanashtakiwa kama kawa
Mapendekezo mazuri ila yataharibu ugali wa watawala
Kabisa.. na Tanzania kinacho takiwa tuwe na taasisi imara zinazo jitegemea na zinazo weza kuwajibishwa.Wenzetu wana fanikiwa Sababu wanayo Mifumo isiyo ingilika kirahisi ,na Sheria zao wana hakikisha zinafuatwa kweli kweli sio kama hapa kwetu Mtu mmoja anaamua mambo ya Taaisis nyimgi kisa ni Boss wao.
Mchawi mkuu alimtuma mchawi Mdogo akaroge na aliyerogwa akaenda kwa mchawi mkuu kwa kuwa kajitambulisha in mganga.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Inabidi pia ofisi ya DCI itoke polisi na iwe kitengo kinachofanya kazi chini ya, au pamoja na DPPMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Juna sifa moja tu ambayo inaweza kumdisqualify polisi yoyote kuwa mpelelezi hata km ana proffesionalism. Polisi wako harsh. Mpaka hapo hilo ni tatizoNdani ya polisi kuna vitengo mbali mbali... Je umepata muda kupitia vitengo hivyo na ufanyaji wake wa kazi? Na je tuna takiwa kuviondoa polisi kutengenezea taasisi yake tofauti na polisi au ndani ya polisi?
Ndugu niamini watu wanabadilika siyo hicho unachofikiria rushwa iko kwa baadhi ya watu na wala siyo kila mtu anapenda rushwaRushwa itahama kutoka polisi kwenda huko kitengo kipya. Watu ni wale wale (watanzania). Kwangu mimi tatizo liko kwetu (watu) na siyo idara.
Kwenye katiba ya warioba .. tume ya uchaguzi na mahakama. Vimewekwa vizuri ila kwenye baadhi ya mambo hayapo vizuri.Ni kweli idara ya upelelezi itolewe na sio hiyo tu
1.tume ya uchaguzi
2.mahakama