Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 624
- 562
Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini..
Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo
Wabunge
Mawaziri
Makatibu na
Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini..
Kwa ukweli usiopingika Hawa ndio wakwamishaji hasa wa maendeleo ya nchi yetu iliyoko mbioni katika suala zima la maendeleo
Hoja:viongozi Hawa wanauhalali gani wa kulipwa kiasi kikubwa kabisa Cha pesa kutofautisha na wafanyakazi wengine katika mfumo mzima wa kiutendaji serikalini?
300k>>kwa siku ilihali mwingine inabidi aistahili baada ya siku 30??!!
Nawasilisha hoja karibu kwa maoni na mapendekezo.....