CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuuni ukweli usio pingika kwa mba hali za kiuchumi ni ngumu sana, na vilevileukizingatia kwamba tuko kwenye Dunia ya Utandawazi ambao tunaambiwa Dunia nikijiji, na na Ukijumulisha na Mashirikisho ya East Africa, SADC na kazalika nizahiri tuko katika Bahari ya Ushindani wa hali ya Juu kibiashara wakuu,Nilisikia SADC nao wanakaribia kusaini common market wakuu na zani tunajuaAfrica kusini, Zimbabwe na Angola wako mbali sana, So wakuu ni lazima tujaribukila njia ya kupambana na si kurudi nyuma, hii ni vita na nilazima tupiganempaka Tone la mwisho, tusikubali kusalimu amri kirahisi wakuu, tusibaki kuwamashabiki, ni lazima tuingie tucheze na tushinde,
Wakuu napendekeza Kuundwa kwa club kwa Wana JFwa Mikoa ya Arusha, Tanga, Kilimanjarona Manyara, Hili ni pendekezo langu wakuuna kama tutakubalina nalo inaweza kuwa sehemu ya sisi kukutana na kubadilishanamawazo, Tusibaki kulalamika tu, Umoja wetu inaweza kuwa siraha tosha ya kuwezakujikwamua
Ninimaana yah ii club?
Kwawajasirimali na wale wanaotarajia kuwa wajasirimali tukikutana pamoja tutaundahii club, nah ii club ndo itakayo tengeneza forum ya sisi kuwa tunakutana nakudiscas matatizo sugu yanayo wakumba wajasirimali na kutafuta suluhisho kwahayo matatizo,
InaundwaVipi?
Itaundwa kwa sisikukubalina idadi ya kutosha kuunda hii club ya JF kwa Arusha inaweza kuwa namembers 30, 40, 50 na kuendelea.
Kwanini hii club wakuu?
Hii itaundamsingi kwa wajasirimali kukutan pamoja na kutatua matatizo yao
Nanianaweza kuwa Mwanachama?
Mjasirimali na mtu yeyote anaye pangakuwa majasiriamali, Ila Kwa baadae itawahusu Wajasiriamali pekee
Naniataiendesha?
Sisi wenyewewakuu
Wakuu Club hii itajumuisha Mikoa hii, Ila nivizuri kwa kila mikoa kuunda yao then kwa baadae tutaona jinsi ya kukutana Nchinzima
· ARUSHA
· MANYARA
· KILIMANJARO
· Tanga
Madhumuniya club hii ya JF KANDA YA KASKAZINI
· Kuwezesha/kuongeza uzalishaji wenye ushindani
· Capacity building of Micro and Small Enterprises
· Kujenga uwezo wa wajasirimali(members)
· Kutoa misaada ya kibiashara
· Mafunzo ya kiutawala katika biashara
· Kuwezesha uzalishaji
· Kutafuta suluhisho kwa common problems
· Kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ambao tunaweza ingianao ubia
Kuwavutiavijana wenye talent ya ubunifu katika biashara
· Reduce competitiveness
· Establish technical standards
Faidaya hii JF ENTREPRENERUSHIP CLUB NOTHERNZONE
· Mutual learning & Benefit
· Kujifunza kwa pamoja kama timu
· Kufikia malengo mengi kwa wakati
· Kuongeza levo ya ujasiriamali
· Kupata mawazo mapya na biashara mpya
· Specific needs with specific solutions
· Easy access to credit
· Kuandaa Trade fair yetu wenyewe
· Consultancy and Training
NB: Wakuu Haya niMawazo yangu tu na wengine mnaweza kuja na mawazo yenu na tukayaunganishapamoja
Wakuuku operate kikanda itakuwa nzuri zaidi kwa sababu hii nchi ni kubwa sana, ila wamikoa kama ya Dar nazani watakuwa nayo na kama hawana wanaweza unda yakwao,Kanda ya ziwa yakwao, kanda ya kati yakwao na kanda ya Nyanda za juu kusini yakwao, Theni kupitia hizi kanda ndo tunaweza tukawa tunakutana, tunatembeleanana kufanya kazi pamoja
NAOMBAKAMA HAINA MSHIKO TUIJADILI NA TUTEMANE NAYO NA KAMA INA MSHIKO TUIFANYIE KAZIKWA MOYO MMOJAHataWakipatikana Kumi wa kuanzia kwa hii mikoa si mbaya wakuu, na mimi nimetoa wazotu anaweza tafutwa mtu wa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa kukusanya maombi yamembers
By CHASHA/KOMANDOO