CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #21
ni mkusanyiko wa vijana graduants(35) ambao ni unemployed katika formal sectors.iko kwenye birth stage inafikiria kutoa services na products mbalimbali ,consultance inclusive.
Mkuu hao 35 graduate ni kila mtu ana wazo la kufanya biashara au mnataka kuanzisha kwa pamoja, ila ni hatua nzuri sana mkuu,